Afisa wa Japani wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi wa Kipalestina-UNRWA, anatumai kuendelea kutoa misaada ...
Maafisa wa hali ya hewa ya Japani ï½—anatabiri theluji kubwa kuanguka katika maeneo ya milimani ya Kanto-Koshin kesho Jumapili. Wanasema theluji pia inaweza kujikusanya katikati mwa Tokyo.
Waziri Mkuu wa Japani Ishiba Shigeru na Rais wa Marekani Donald Trump wanatarajiwa kufanya mkutano wao wa kwanza Februari 7 ...
Vyombo vya habari nchini Marekani vimeripoti kuwa ndege ndogo ilianguka huko Philadelphia, katika jimbo la Pennsylvania, ...
Mawaziri wa Ulinzi Nakatani Gen wa Japani na Pete Hegseth wa Marekani wamekubaliana kuimarisha ushirikiano wa pande mbili ...
Rais Donald Trump wa Marekani aliahidi kuweka ushuru anuwai mara tu baada ya kuingia mamlakani, ikiwemo majirani wa karibu zaidi wa Marekani. Msemaji wake anayeshughulikia mkutano na wanahabari Karoli ...
Wachunguzi nchini Marekani wanachunguza chanzo cha mgongano wa Jumatano kati ya ndege ya abiria na helikopta ya kijeshi.