Haya ni mazungumzo ya kwanza ya moja kwa moja tangu kile kilichoitwa "vita vya siku 12," vilivyoibuka baada ya shambulio la ...
Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer amekiri kuwa aliamini madai yaliyomuhusisha Peter Mandelson, aliyekuwa balozi wa ...
Mkataba wa kudhibiti silaha za nyuklia uliosainiwa kati ya Marekani na Urusi, mataifa mawili ambayo yanamiliki idadi kubwa ...
Nchini Cameroon, mnamo Januari 23, 2026, agizo za rais zilizosainiwa na Paul Biya ziliidhinisha makanisa manane mapya kufanya ...
Utawala wa Rais Trump umekuwa ukiongeza shinikizo kwa Iran kuingia katika mazungumzo kuhusu mpango wake wa nyuklia. Chombo cha habari cha Marekani cha Axios kinaripoti kwamba mazungumzo juu ya nyuklia ...
Iran imesema mazungumzo ya nyuklia na Marekani Oman ni mwanzo mzuri huku hofu ya vita ikitanda Mashariki ya Kati. Tehran yakataa kujadili mpango wa makombora, yakisisitiza kuondolewa kwa vikwazo.
Mazungumzo ya ngazi ya juu kati ya Iran na Marekani yameanza Ijumaa nchini Oman, katika juhudi za kupunguza mvutano ...
KUNA nyakati ngumu anazopitia kiungo mshambuliaji wa Simba, Ellie Mpanzu ndani ya kikosi hicho. Hakuna shabiki wala kiongozi ...
Hakuna siri kwamba, kinachoiponza Simba ni kama kile kilichoiponza Yanga misimu minne mfululizo nyuma, kujilinganisha na wapinzani wao. Yanga ilikuwa ikipima mafanikio kwa kutaka kujilinganisha na ...
MBUNGE wa Geita Joseph Kasheku Musukuma ameishauri serikali kuacha kuteua wenyeviti wa bodi watu waliostaafu bali wateuliwe vijana wenye maono mapya yatakayolisaidia taifa kupiga hatua. Msukuma, amese ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results