Aidha, amewahimiza wananchi kutekeleza kauli mbiu ya wiki ya maji kwa vitendo kwa kupanda miti kwa wingi, akisisitiza kuwa Rais Samia amekuwa mstari wa mbele katika kusimamia ajenda ya mazingira. Kwa ...
MUWSA yapanda miti kuhifadhi vyanzo vya maji, kilele Wiki ya Maji. Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi (MUWSA) imefanya zoezi la kupanda miti rafiki wa maji katika kilele cha Maadhimisho ...