We proceed with the Swahili word which start with letter H. “Hata kidogo” is a Swahili phrase that translates to “not even a little” or “not at all” in English. It is commonly used to express strong ...
WAKALA wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) umesema una akiba ya kutosha ya chakula katika maghala yake. Mkurugenzi Mkuu wa NFRA, Dk Andrew Komba amesema wameongeza uwezo wa kuhifadhi chakula cha ...
SERIKALI imesema itaunda timu ya wataalamu itakayojumuisha wizara tano kuchambua waraka wa unaojiita Umoja wa Walimu Wasio ...
MKURUGENZI Mtendaji wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika, Dk Zarau Kibwe amepongeza uongozi na sera za kiuchumi za Rais Samia ...
Sisi tunaamini magonjwa hayo ya milipuko yanadhibitiwa kama ambavyo tumeshuhudia katika magonjwa yaliyowahi kulipuka nchini, la msingi jamii ifuate kila maelekezo yanayotolewa na serikali kupitia ...
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali inaendelea na mkakati wa kufungua milango ya ujasiriamali kwa kutekeleza sera ...
JUMUIYA ya Maendeleo ya Nchi Kusini mwa Afrika (SADC) imeamua kuondoa vikosi vya majeshi yake Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (SAMIDRC). Wakuu wa nchi na serikali SADC walifanya uamuzi huo Machi 13 ...
KAMPUNI ya Mgodi wa Dhahabu ya Geita (GGML) imeungana na Wakala wa Usalama na Afya Mahala pa Kazi (OSHA) kuimarisha usalama ...
DODOMA: WAKUU wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Mikoa na Vikosi kutoka Tanzania Bara na Zanzibar wametakiwa kutumia mbinu ...
NAIBU Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya amesema serikali imetenga fedha kiasi cha Sh bilioni 5.9 kwa ...