Anna Byard-Golds amekuwa na ugonjwa wa kubambuka ngozi katika maisha yake yote. "Nilianza kujitambua nikiwa na umri wa miaka minne au mitano. Niligundua kuwa mikono yangu ni tofauti na ya watoto ...
Bi. Queen Ereba kutoka Nigeria anasema ugonjwa wa ngozi ulimlazimisha kujitenga na watu na hata kuacha shule. Vilevile alipata shida ya afya ya akili lakini sasa ameandika kitabu kuhusu kile ...
Pumu, ugonjwa wa kisukari na kuwa katika hali ya kudhikika ... dalili zinazowapata wengi ni pamoja na kuchoka, homa hafifu, ngozi kuwasha na kisunzi au kisulisuli. Sehemu kubwa ya mfumo ulinzi ...
Kwa mujibu wa Naibu Waziri wa Afya, Dk Godwin Molle watoto 11,000 hadi 14,000 huzaliwa na ugonjwa wa selimundu kila mwaka, huku idadi ya wagonjwa ikikadiriwa kuwa zaidi ya 200,000 nchini.
Ketoni ni asidi zinazoweza kufanya damu kuwa na tindikali nyingi, hali inayoweza kusababisha matatizo makubwa kiafya na hata ...