Muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania umeanza kujitengenezea ... nchini Tanzania na kuuongezea thamani muziki huo maarufu kama Bongo fleva, Mabadiliko haya yaliyoanza kujitokeza katika siku ...
POPOTE duniani muziki wa Hip Hop na RnB unapokutana inazaliwa ladha moja ya kipekee masikioni mwa msikilizaji na umekuwa ni utamaduni wa miaka mingi kwa wasanii wanaofanya aina hizo za ...
Hali ya simanzi na huzuni imegubika familia ya msanii wa bongo Fleva Ali Kiba baada ya ... ya wanawe ambao wamefanikiwa kama wasanii wa muziki kufanya harusi ya pamoja mjini Dar es Salaam.
Nyimbo zake za mwanzo kama Mafungu (2009) na Nivute Kwao (2011) ndizo zilimpatia umaarufu kimuziki Dayna Nyange na hadi sasa ...
Mwanamuziki Diamond Platnumz mbali na kutoa ngoma kali kama ‘Komasava’ lakini pia anatajwa kuiunganisha Bongo Fleva na muziki wa Congo. Huku akileta ladha tofauti pamoja na kukusanya mashabiki ...
Msanii nyota wa muziki wa Bongo Fleva, Raymond Mwakyusa, Rayvanny, maarufu kama Chui, ameizindua rasmi promosheni mpya ...
Katika tasnia ya burudani Bongo hasa upande wa muziki, kuna 'couple' nyingi za mastaa ambazo mahusiano yao wamekuwa na nguvu ...